NyumbaniMsaadaNitadhibiti vipi orodha zangu za kuzuia na kunyamazisha?

Nitadhibiti vipi orodha zangu za kuzuia na kunyamazisha?

  1. 1Nenda kwenye Mipangilio kwa kugusa ikoni ya gia kwenye ukurasa wa Wasifu wako.
  2. 2Gusa "Faragha" ili kufungua mipangilio ya faragha.
  3. 3Chini ya "Orodha ya Waliozuiliwa" au "Orodha ya Walionyamazishwa", gusa "Simamia" ili kuona watumiaji wote waliozuiliwa/walionyamazishwa. Gusa "Ondoa Kizuizi" au "Washa Sauti" ili kuwaondoa.

Kidokezo: Kumwondolea kizuizi mtumiaji kutamruhusu kuona shughuli zako na kukutumia ujumbe tena.